mtu mzima albert mangwair baada ya kitambo kirefu kutoka na albam yake ya kwanza a.k.a MIMI ambayo ilikuwa albam bora ya hiphop sasa ameachia albam mpya inayokwenda kwa jina la n'ge swali ni kwamba je itawashika watu kama albamu ya na je inaweza kuwa albam bora ya mwaka get your co py now
No comments:
Post a Comment