Powered By Blogger

Thursday, November 26, 2009

jamaa wanaboa mbaya


kutokana na wimbi la vijana wengi kukosa ajira wameamuamua kujiajiri wenyewe kati ya vijana hao wengine wanakuwa vibaka na wengine wanaamua kujihusisha na biashara ndogo ndogo lakini huu mfumo wa kuosha magari kinguvu halafu wanalazimisha uwapechochote kitu haujakaa vizuri kwa upande wangu

No comments:

Post a Comment