Powered By Blogger

Friday, November 27, 2009

Before and after marriage


Before marriage.....

He: Yes. At last. It was so hard to wait
She: Do you want me to leave?
He: No! Don't even think about it.
She: Do you love me?
He: Of course! Over and over!
She: Have you ever cheated on me?
He: No! Why are you even asking?
She: Will you kiss me?
He: Every chance I get.
She: Will you hit me?
He: Are you crazy! I'm not that kind of person!
She: Can I trust you?
He: Yes.
She: Darling!

After marriage....
Simply read from bottom to top.

WALIDHANIA CHAI

FIESTA2009 one love watu waligambeka mpaka wakashindwa kujitambua ilimradi kila mtu alienjoy kivyake ilikuwa bonge moja la show one love

Thursday, November 26, 2009

check na video ya diamond/kamwabie

mchizi anakwenda kwa jina la diamond ni msanii anayechipukia katika bongo flava kashafanya ngoma mbili tatu lakini hii ndo imemtabulisha zaidi

ETI NDO HAPA TUMEFIKA AU BADO!!

KUSOMA HAUJUI BASI HATA PICHA HUIONI

NO COMMENT


wadau nipeni mawazo yenu hapa manake mi sielewe chochote ............

N'GE 1982 IS COMING OUT NOW


mtu mzima albert mangwair baada ya kitambo kirefu kutoka na albam yake ya kwanza a.k.a MIMI ambayo ilikuwa albam bora ya hiphop sasa ameachia albam mpya inayokwenda kwa jina la n'ge swali ni kwamba je itawashika watu kama albamu ya na je inaweza kuwa albam bora ya mwaka get your co py now

UNABISHAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!


kama unabisha we bisha banaaa lakini hawa majamaaa wapo juuu coz wana make money kwa style ya kipekee usidhani na wewe utatokea pale jamaa walipotokea vijana tunatakiwa kuwa wabunifu holaaaaaaaaa

jamaa wanaboa mbaya


kutokana na wimbi la vijana wengi kukosa ajira wameamuamua kujiajiri wenyewe kati ya vijana hao wengine wanakuwa vibaka na wengine wanaamua kujihusisha na biashara ndogo ndogo lakini huu mfumo wa kuosha magari kinguvu halafu wanalazimisha uwapechochote kitu haujakaa vizuri kwa upande wangu