Tuesday, June 1, 2010
TUSISOME ILIMRADI ..............
Japo familia duni ndipo mimi nilipozaliwa,nitapiga DILI kwa ya Mungu majaliwa,mi nina akili timamu mambo mengi nimeyaona,mkiniona na madaftari haimaanishi ndo nasoma, napata wakati mgumu washkaji wanapolia kufeli,kwani na mimi nina mawazo msije mkaniletea kejeli,watu wanalalamika wanafeli mitihani yao,mabinti wanatongozwa sana na walimu zao,sisomi leo sisomi kesho kutwa wala mtondo goo,kwanza mi nimuoga sana wa kuamka majogoo.kwa jinsi nionavyo mimi ngoja ningojengoje kwanza,pengine nitafikiria hata kuanza la kwanza.eti nipige mapindi wengine nisome ucku niache kumuwaza chiku,hamuwezi faulu hamjasoma mi nikiona mtu anafeli naona ka nafeli mimi so miaka kadhaa ijayo ndo ntasoma shule ya msingi BADO NIPO NIPO KWANZA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment