Powered By Blogger

Monday, June 21, 2010

NGOSHA THE SWAGGA DON☻



Intro
Fid Q: So Swagtastik!!!
Naj: Ngosha ze Swagga Don x4

Verse 1:
(Fid Q)
Mc’z wanaenda down, ka Zim(babwe) dollars/
Mie sio bling, mie culture ka ZEMKALA/
Da brightest thang shining next to a diaMOND/
Niite Ghost Writter ninapo Blaze ka AMO/
Mara nyingi mie nina bahati kama Lotto Machines/
Si mtu wa adventures kama Frodo kwenye Lord of the Rings/
Niite Roscoe, ninapoSPEAK in Tongues ka Jenkinz/
Don kama Bosco, Mad kama Ice Helsink/
Unataka Bed fight? Mie nina King size na French fries kwa Breakfast/ T- bone stake na PRISON BREAK kiGangstar/
Tattoo plan kama Michael Scolfield/
Bruce lee wa Rap ya Africa, Rock city naigeuza Rap City/
Nina Gucci Lips namaanisha ziko Brown/
Materialistic wanapenda niwe around/
Sexy & Single na pia hufurahi nikiwa FREE/
Nilipenda 3 sum zaidi ya unavyoipenda track hii/
Trust me, ninahitaji wife and some gorgeous Kids/
Seen, mie sio bogus we una dance ka Lotus juu ya hii beat/
Mashairi kwangu Pipi, nayagawa ka Santa Claus/
Kazi na Dawa Marco puff 3 kitu BOUNCE/
Mademu hawapendi kuona unavyomdiss FID/
Wote nawaita Candy sababu they’re so SWEET/
I’m so 2010 sihitaji Pad or Pen,u so 2000 and late/
Na haulipuki ka Bin Laden/

Chorus:
( Naj) Ngosha ze Swagga don x8
2nd Verse:
(Fid Q) My Mama.. didn’t raise no Fool/
Ninavyo Bust a Rhyme… wananiita Leader wa new School/
Ngosha ze SWAGGA DON.. Uh uh usinidownload/
Hapa utapata ladha expensive zaidi ya iPhone/
Mie sio Superstar ni International I con/
I’m Internationaly known kama Tyson/
Flow iko so Universal kama yvone, CHAKA CHAKA/
Ladies and Gentlemen ni Rappers Rapper hapa/
Naweza kwenda Quick kama ROCKA nikawatisha kisha mkaa ‘’ We Love you FIDQ’’ U deserve girls… Q yuko stronger ka playa wa Baseball au Wrestling/ usiniite Paper Chaser mie nina Chase Dreams/
Kama una Pesa Jenga kabla haujaanza Pimp Rimz/
Jikomboe kama wanaojiunga na X treme/
Drive with care, coz Life has no Spare/ na piiiiiiiiaaaaaaa…,.
‘’ THEY SAY IM COOL LIKE FIRE & AND IM HOT LIKE ICE OH UYEAH… U FEEL WHAT I SPEAK COZ I SPEAK WHAT I FEEL OH YEAH’ X2

SING IT!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Monday, June 7, 2010

"Nawashukuru watanzania" AY




“Hali vipi?Napenda kuwashukuru mafans wote wote walionisupport kwa kunitakia kheri na kunipigia kura katika Tunzo za Ghana zijulikanazo kwa jina la MUSEKE.Kwani nimeshinda East African Song of the Year kupitia wimbo wa LEO. amesema AY.

Ushindi huu si wangu peke yangu ni pamoja na Watanzania wote,Mashabiki wa AY na mashabiki wa Muziki kwa ujumla. aliongeza

Nafanya kazi sana, mnanipa support kubwa na Matokeo tunayaona.Mafanikio bado hatujayafiki so MO FAYA. Naenda kampala leo kupiga show katika fainali za Pilsner Djs Spinning.

Kutoka kwa AY

Tuesday, June 1, 2010

TUSISOME ILIMRADI ..............


Japo familia duni ndipo mimi nilipozaliwa,nitapiga DILI kwa ya Mungu majaliwa,mi nina akili timamu mambo mengi nimeyaona,mkiniona na madaftari haimaanishi ndo nasoma, napata wakati mgumu washkaji wanapolia kufeli,kwani na mimi nina mawazo msije mkaniletea kejeli,watu wanalalamika wanafeli mitihani yao,mabinti wanatongozwa sana na walimu zao,sisomi leo sisomi kesho kutwa wala mtondo goo,kwanza mi nimuoga sana wa kuamka majogoo.kwa jinsi nionavyo mimi ngoja ningojengoje kwanza,pengine nitafikiria hata kuanza la kwanza.eti nipige mapindi wengine nisome ucku niache kumuwaza chiku,hamuwezi faulu hamjasoma mi nikiona mtu anafeli naona ka nafeli mimi so miaka kadhaa ijayo ndo ntasoma shule ya msingi BADO NIPO NIPO KWANZA