Powered By Blogger

Thursday, March 25, 2010

wasanii wa bongo fleva wana majungu- chilla



Mwanamuziki mwenye vituko kwenye muziki wa Bongo Fleva Athuman Shaaban Katwila a.k.a Q Chilla ameibuka na kutangaza hata siku moja hatataka urafiki tena na wanamuziki wa kibongo.

Q Chilla aliyasema hayo wakati akihojiwa na kituo kimoja cha Radio nchini kwa kuulizwa yeye kumtuhumu T.I.D kuwa anamroga hivyo kushindwa kufanya kazi zake vizuri, habari ambazo ziliripotiwa na vyombo vya habari siku za nyuma.

No comments:

Post a Comment